Mila ya watu kwenye kanisa la watu
28/2/2007
Je, mithali ya watu bado inaonekana mbele za Mungu? Ukweli ni kwamba mithali hii sisi tumeiheshimu sana imeleta uharibifu mkubwa kwenye mwili wa Yesu Kristo. Mithali hii imetoa uongozi na u Bwana wa Yesu katika kanisa lake bila huruma.
Tena yeye alisema nao, isaya alitabiri vyema juu ya ninyi wa nafiki, kama ilivyo andikwa, watu hawa uniheshimu kwa midomo, ila mioyo yao iko mbali namu. Nao waniabudu bure wakifundisha yaliyo maagizo ya wanadamu.
Yesu pekee alivunja nyakati zote wakati wa Mila zao balidi na mipango yao wakijua kwa yanaweza yakaleta machafuko kwa viongozi wake. mfano mmoja. Alipokuwa akinena, Farisayo mmoja alimwita aje kwake ale chakula; akaingia, akaketi chakulani: Farisayo huyo alipomwona, alistaajabu kwasababu hakunawa kabla ya chakula. Bwana akamwambia, Ninyi mafarisayo mwasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani yenu mmejaa unyanganyi na uovu. Enyi wapumbavu; aliyevifanya vya nje, siye yeye aliye vifanya vya ndani pia? Lakini, toeni sadaka vile vya ndani, na tazama vyote huwa safi kwenu. Lakini, ole wenu, mafarisayo, kwakuwa mwatoa zaka za mnanaa na m’chicha na kila mboga, na huku mwaacha mambo ya adili, na upendo wa Mungu; iliwapasa kuyafanya hayo ya kwanza, bila kuyaacha hayo ya pili. Ole wenu, mafarisayo, kwakuwa mwapenda kuketi mbele katika masinagogi, na kusalimiwa masokoni. Ole wenu kwakua mnafanana na makaburi yasi yoonekana, ambayo watu wapitao juu yake hawana habari nayo. Mtu mmoja katika wana—sheria akajibu, akamwambia, mwalimu, kwakusema hayo umetushutumu sisi nasi. Luka 11:37—45.
Mjue sasa kwamba ni taabu kunawa mikono kama walivyo kuwa wana taka wale wafalisi. Je, kuonyesha upendo ambao wa Kristo, wema na uvumilivu aviwezi kusogeza maisha kimo kimoja? Kika waumiza namna gani? Tunatakiwa tuwakute watu waliko, alafu tuwe yote kwa watu wote. Tunafanya haya?
Labda amjui Yesu amejawa na upendo—yeye tena yeye pekee maana ya upendo wa kikristo, uvumilivu ni wema. Vitu kwa watu wote? Yesu pekee ndio anaye weza kueleza namna ya vitu vyote vinavyoweza kuwafika watu wote kwa maana ya Baba. Tena Yesu alifanya mambo mengi kama vile kuonekana kwenye makutano na viongozi wadini kwaku tukana yalio kuwa yanatendeka katika chakula cha jioni. Wakati mwingine Yesu na wanafunzi wake walikuwa wanapita kwenye shamba la nafaka siku ya sabato na kusudi wakati walio kuwa wana mpinga wanamuona wali maanisha namna nyingine na kukataza yalio anzwa zamani na Mungu. Watu hawa wanao jiamini kwenye sheria na kuyiweka kwenye kupinga na kiumungu ndivyo walikuwa wana tafsiri maandiko. Kwa hiyo Yesu alikuwa anawaeleza yote vizuri kabisa bila kuchanganya na mawazo ya kibinadamu kwa sababu gani? Tuna amini kupata jibu wakati tunapo omba.
Ninaendelea na kulasa hii kipimo cha vinogeo ambavyo Yesu aliviweka alipokua anatembea kwenye miji na wanafunzi wake kumi nambili vinatakiwa kufanyika na kipimo hikoiko na wafuasi wake leo. Kumi na wawili hao, walifundishwa vizuri kikristo kilivyokuwa na alio kuwa anaongoza kundi la watu 3108 kuongezea walio okoka wakwanza katika maisha ya Yesu Kristo baada ya siku ya pentekoste aliyaza maisha yao na Yesu. Walio kuwa wakiyaleta kwenye kundi kubwa la ambao wakajitoa kwa Yesu na mlingo mzuri wa yakunogeshea na desturi za dini kwamba sisi watu tutumie mpaka leo. Ukweli unatakiwa ujulikane kwa watu elfu na elfu wanao kutanika pamoja wa kanisa la kristo la kwenye Biblia ambako akuna jambo lolote linalo husu namna ya kuendeshea ibada, yakunogeshea au hadithi
Kuli kuwa hakuna kilichofungwa na kundi lolote lire, kama tunavyofanya sisi kwamba hii inaitwa IBM au AMWAY wakiwa wameandika kuli kuwa hakuna kutoa mistari mingine na kuweka mawazo ya ujanja wao. Niludie tena kusema kwamba nyongeza zetu kwenye makanisa ya Mungu mala kwa mala inaonekana kama, mila zisizo na kazi zimefungia nje utakatifu, imani ya uhakika kwamba lionekane kama Mungu alivyo kuwa anataka yawe hivyo inchini mwake kabla aija timia miaka mia moja (100) baada ya kufa Yesu.
Ata kwamba tumekimbilia mbali kutoka kwenye njia ya Yesu, mipangirio na handith zetu na kujiumiza vimekua vitu ambavyo vizazi vingi duniani kama kweli. Wengine wana weza kukataa kwamba yote ya matunda ambayo yalikowemo mwetu yalio zaliwa kutoka nje, kuyiumiza na mipangirio yetu. Kama walivyo watoto wana taka maonyo na vyombo vinavyo onekana kwamba wachukulie. Watu viwete wanataka fimbo na viti vyakutembelea viwete. Kuna weza kuka tokea nini kama mtoto yule atakua? Kunaweza kukaweje kama viungo vilivyo ni kilema na mwili wa Matatizo umepona? Kuna nini kama kanisa liro kuwa kimo cha Yesu?
CHAKULA CHA MAWAZO NA NIA
Maneno mengine ya dini yasio patikana kwenye Biblia, (kutafsiri kwa makosa kuna fundisha kutoelewa au.
“Kanisa,” “Utumishi” “Ubatizo”
”Dini” “Mchungaji, “Maombi”
“Kristo” “Mtume” “Wakovu”
Ata kwamba maneno haya yanapatikana popote siku hizi kwenye kikristo kama Biblia ambayo tunaweza kusoma kwa lugha ya kwetu inatuonyesha kweli nina waomba mfikiri pamoja nami kua dakika chache. Kwasababu gani maneno aliosema Yesu kwenye kundi la watu, alafu maneno aliye sema mtume Paulo aliandika makanisa kwa wakati huo ayafanani maana yake na maneno tunayo yasikia na kuyasoma leo? Kwa mfano neno la “gay” awatafsiri kama walivyo kuwa wana tafsiri zamani? Yana fanana kumbe?
Umesema kwamba “gay” kwenye miaka iliopita mmeendesha vizuri dini ya kisasa ina mambo ya kuiga mengi ni ya uongo yamechukuliwa kutoka kwenye maneno ya dini yametafsiriwa vibaya na kundikwa kwa hekima nyingine kuacha ya Biblia.
Yakushangaza maneno hayo aya simamii yote Yesu yu, kwingine Paulo atawengine ambao tunaweza kuwa kumbuka. Wakati mnapo soma Biblia nakuendelea jitahidini kusikia yale walio sikia tena zaidi ya kusikia vilivyo kwenye kizazi kisicho badilika na tafsiri ya kale. Malizeni jihadharini chakuchekesha na usumbufu kupata ukweli. Wengine misingi ilio imala sikuizi taifa lote—ambao awapatikani kwenye kanisa la kwenye Biblia ni hawa. Maombi ya kuabudu, ujumbe, mafundisho ya kwa Mungu, shule za thiolojia za kikristo, kwaya, kuwaalika watumishi wa moto—watu wakuuliza kazi, kujaribu, kujaribiwa wakati wakwingiya kazi, kuweka siku ya Mungu kama ilivyo siku baki, kuchaguliwa kwa watu kwamba wauombe mkutano wa kikristo. Kabla mda wa kuhubiri ujatimia au kuongoza sifa na mengine kama hayo.
Kufanya kwa mambo ya zamani—Paulo likuwa abebi Biblia, kuhubiri kwenye shule za Biblia.
KUJIANDAA KWA AJILI YA INJILI
Kujenga mahekalu ———-—Mwanzo wa mizizi ya mahekalu ya kikristo inaonekana ilianza hivi karibuni katika miaka mitatu ishirini baada ya kufa Yesu Kristo (AD) wakati mfalme (Emperor) konstantino aliona wote wenye dini za unafiki walikuwa na mahekalu na yeye aliwaza kwamba Mungu wake wasasa Yesu Kristo na yeye ajengewe mahekalu. Wataalamu wanao chunguza mambo ya kale awapati mabaki yeyote ambayo yana kubaliana na dini ya kikristo katika siku za Yesu au kumi na wawili, labda ilipo pita miaka mia mbili. Ili ni jambo linalojulikana kwamba kundi linalofikia elfu kumi waliookoka walikuwa wengine wanaenda kwenye hekalu la Mungu, Labda sinagogi za kiyuda na hekalu zao, au kwenye hekalu zadini nyingine. Lingekuwa la kueleweka sana tena bila kukataliwa sikuhizo kwa wa Kristo kujenga mahekalu makubwa makubwa kama watu wanavyofanya leo na kuwa na maombi humo. Lakini awakufanya kwa nyakati mbili, hawakufanya, sababu gani? Kwasababu sheria ya kwenda hekaluni kwa siku moja iliyo wekwa, katika sehemu moja linapingana sana na kusudi na sababu za Yesu na kanisa la kwenye Bibilia ambalo alilifia kwakujenga. Chukueni mda mchache ombeeni mawazo haya pamoja nami ambayo ni uhakika haswa katika yale ambayo Yesu aliyaleta kuja kulijenga kutoka mbinguni kuja hapa ulimwenguni—katika yale aliyoleta Yesu kuyasimika kutoka mbinguni kuja ulimwenguni—katika upendano waki Mungu katika kanisa lake. Linaweza kuwabadilisha wakati wote. Tena ni la kufurahisha?
Ila yeye aliye juu hakai katika nyumba zilizofanywa kwa mikono, kama vile asemavyo nabii, mbinguni kiti changu cha enzi, na nchi ni pakuwekea miguu yangu; Ni nyumba gani mtakayonijengea? Asema Bwana, au mahali gani nitakapostarehe? MATENDO 7:48-50.
Na ile kumi na miwili ni lulu kumi na mbili; kila mlango ni lulu moja na njia ya mji ni dhahabu safi kama kioo kiangavu. Nami sikuona hekalu ndani yake; kwa maana Bwana Mungu mwenyezi na mwana kondoo ndio hekalu lake. UFUNUO 21:21—22.
Ambapo kuna moyo wa Mungu ndio kanisa linatakiwa kuwa Mfano wa namna yakuendesha hapa duniani. Kanisa lirilohai, lao na la wana oamini wamelifanya. Kama lao na kulijengea ukuta na kuweka mabati ambavyo sio jambo la muhimu sana ulimwenguni hapa. Hayo ayana kazi kutokana na yale tunayo yatafakali hapa. Tunataka kuona kikristo haswa ambacho kina sula ya kikhristo, lakini wameikataa tena kwa umoja hata pia kwa mmoja mmoja.
Mala kwa mala Neno la Mungu linashuhudia utukufu wa njia ya kisasa. Kanisa la wakati huu la waefeso kwa mfano lilikuwa linakutana na matatizo ya hatari sana. Mji ule ulipata Neema na ya nguvu ya moja ya maajabu ya duniani pote hekalu la Malkia Diana. Kukua kwa makanisa mbalimbali kwenye mji wao/ambayo bila shaka wengi waligeuka kwa Yesu) walikuwa na hekalu zuri sana duniani pote. Je, wakristo waliendelezaje na hayo? Paulo aliandika barua nyingi nakuwanyosha macho ya mioyo yao kwamba waone maono yakifalme na kanisa la hekalu alisema haya yanaweza yakaonekana na macho ya kiroho tu. Yohana 3:3-8, 1Korintho2:8-16, Mathayo 11:25-27).
Njia ya maisha mapya hii inazidi sana kwakufananisha nayale yanayo patikana kwenye majumba yanayojengwa na watu baki. Mungu anawatengenezea ninyi makao nyumba ya utukufu wake. msifurahie kujenga kwa watu wakati ninyi ni mawe yalio hai—yamechukuliwa kutoka kwenye mwamba ambao ndio Yesu mwenyewe “Alafu alitufufua pamoja nakutukatisha pamoja naye katika ulimwengu wa roho. Katika Kristo Yesu Waefeso 2:6 Basi langu sasa ninyi si wageni wala wapitaji, bali ninyi ni wenyeji pamoja na watakatifu, watu wa nyumbani mwake Mungu. Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni. Katika yeye jengo lote linaungamanishwa na kukua hata liwe hekalu takatifu katika Bwana. WAEFESO 2:19-21!
Someni: Mathayo 21:1-2, Marko 14:56, Yohana 2:18; 14:1-3-3 14:15-21, 1korintho3:9-10, 1 Petro2:1-12; Isaya51:1-2
SISI NI HEKALU LAKE!!!! Ni sehemu yake sisi! Sisi ni nyumba ya ki Kristo iliyo jengwa ambayo inapita zote, watu sio, sehemu au wakati. Tunakaa kweli katika sehemu, wakati furani lakini tukiyazunguka hayo, kuna kitu kimepungua sio kanisa lake ufalme wake auelezewi kwamba ni wa sehemu kwa wakati mwingine.
Na alipoulizwa na mafarisayo, ufalme wa Mungu utakuja lini aliwajibu akawambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza; wala hawatasema, tazama, hupo huku, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu. LUKA 17:20 —21.
Ninyi msitafute mtakula nini, mtakunywa nini, tena msiwe na shaka moyoni kwakuwa haya yote, watu wa mataifa wanayatafuta, lakini Baba anajua mnaitaji haya yote. Zaidi sana tafuteni ufalme wake hayo mengine atawaongezea. Msiogope, enyi kundi dogo; kwakuwa Baba yenu ameona vema kuwapa ule ufalme. Viuzeni mlivyo navyo, mtoe sadaka. Jifanyieni mi fuko isiyo chakaa, akiba isiyopungua katika mbingu, mahari pasipo karibia mwivi, wala nondo haharibu. Kwakuwa hazina yenu ilipo, ndipo itakapo kuwapo na mioyo yenu. LUKA 12:32-34.
Yesu akamwambiya, Mama, unisadiki, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala kule Yerusalemu. Ninyi mnaabudu msichokijua, sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa wayahudi. Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabudiyo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. YOHANA 4:21-24.
Lakini kwa kuwa mmemjua Mungu ninyi, lakini zaidi yakujulikana na Mungu kwanini kuyarejea tena mafundisho ya kwanza yalio manyonge, yenye upungufu, ambayo mnataka kuyatumukia tena? Mnashika siku, na miezi, na nyakati, na miaka. Nawachelea isiwe labda nimejitaabisha bure kwaajiri yenu. (AGALATIYA 4:9-11!)
Ni cha thamani ni chakufurahisha kuona ambayo Mungu ametendea tena kwetu amekuweko kwa ukuu. Kuishi katika kuanda makao na wakati na tena tunzo la watu, baada yakumruhusu kichwa wa kanisa Yesu mwenye kuongoza roho na mikutano yetu na kukosa utukufu wa Mungu wa urithi. Hivi sasa tunafikiri kujilinda kwetu ni kwabudu vizuri tukiwa tumetayarisha kwa ujanja usemi (inawezeka na ametoka kwenye Biblia) nakuweka siku, majuma hata miaka na nyimbo zote na kuongezea kila kitu kinachotakiwa maombi katika siku.
Haukuwa mpango wa mungu kuwa na Kristo ambacho kinajulikana kwa mawazo ya watu, mipangilio ya sabato na kuwa na kundi linaloitwa kamati wajuzi walio ajiriwa kazi na kanisa kuwa kiongozi wao vitu kama hivyo toka zamani tumeona yaliofuata kwenye picha zilizo mbali sana kutoka katika njia ya Yesu Kristu, na kumi na wawili pamoja na kanisa ambalo liliwajua. Roho wanaume na wamama, wasichana na wavulana wamekuwa wakikutwa, kwenye michezo bila tatizo hata pia kutumiwa na shetani. Kweli wako kwenye michezo bila tatizo la kweli ni lile Yesu Kristu aliutaja kwamba milango ya dunia ya wafu hayita washinda wao. Mipangilio na mila yameshindwa. Yesu pekee ndio anayotajwa kati ya watu wake—kanisa ambalo katika kweli kuwasiliana kushikamana pamoja na kupokea msaada wa kifalme cha ukuhani, familia inayofanya kazi kwa njia yake, sio mtu ambayo awezi kutoa nguvu za giza.
Tukiangalia sana huko nyuma tunakuta sifa za dini na kuona tulipafikia tunakuta kwamba hekalu lililojengwa limekuwa sehemu ya kikristu kwa miaka mia moja na makundi matano, mengimengi. Kundi ambalo lilikuwa likipinga neno la Mungu (protestants) liliendelea kutumia mahekalu ya kirumi ilipopita wakati wakutengeneza upya na mtumishi alioitwa Martin Luther, hapo ndipo walipoanza kuelewa kama nao ni warumi. Kama tunavyo msikia mtume Paulo ni kama ilivyo leo. Kubadilika kwingine kunaitajika sana kulikuwa kuongezewa mda wa Luther. Haya ayatakiwi kuuliza tena tunatakiwa tufurahi kwamba mtu kama Martin Luther alitaka atoe maisha yake kwakupiga vita dini zilizokuwa zikichipuka na kuchangamana na nyumba za mikono ya watu wawakati huo hata hivyo kipimo kikubwa ambacho kinaongoza dini nyingi mpaka leo kalichukuliwa pamoja kutoka siku za luther kama kitu chakuabudiwa.
Kanisa ambalo Yesu alilijenga (tena anaendelea kuujenga) si huko hapa, au pale. Kwa mda aufanani na sehemu ya mfalme kama vile dini zote za kiyuda zilivyokuwa zinafanya.
Je, hayo yanamaanisha kupungua kwa matendo, tunda hatakwamba labda inaweza kawa uchache wa mikutano kwenye kanisa? Hapa, sana zaidi Mungu aliluhusu kuharibika kwa dini, yake na kuinua yake ya mwanzo na mawazo ya watu kwasababu ya ugumu wa mioyo yao. Lakini hayakuwa hivyo hapo mwanzo; Mungu aliwapa wana wake siku ya Jumamosi siku takatifu. Alitupa sisi Yesu awe Sabato yamapumziko (Waebrania 4:1-11; Mathayo 11:25-30) tsiku yeyote au nikiwa peke yangu labda tikikusanyika pamoja muhimu kama tunaishi na Yesu mahari pakifalme na kuishi nakuwa na yote ndani yake. Kama hakika tunakaa ndani yake kuhalibika na maisha, kupanga siku na wakati maneno ya kubuni yanazuiya na kutananisha na yale ambayo yangefanyika bila hayo katikati ukuhani wa kifalme. Watu wa Mungu wana ufahamu walivyo funguliwa kuwa hai wake pamoja afadhari kusoma hayo maneno na kuyaimba tu.
Kungekuwa hivyo kizazi kisicho na toba tena wasiojitoa wanaume na wanawake ndio kingekuwa kinataka ufalme wao na saa na mahari kwenye kalenda na mipangirio ya yale yatakayo tokea wakati tutakapo fika mbinguni. Kwasababu gani wangeweka kutaka kwawo katika kuongezea kwenye desturi zao au na maandalio. Kwasababu kutaka ufalme wa mungu ni la wakati wote ukweli ni kwamba kufuata maisha ya Mungu na kukusanyika kwa kusudi lake mala kwa mala kwa uwazi hata pia kwenda nyumba hadi nyumba si vyema kutunza kila kitu kwa miaka ishirini itapita wakati wa vinyago.
Iyi ni njia ya Mungu, inchi takatifu walitaka ufalme wake, ni Yesu aishie ndani yao:
Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali. Kila mtu akaingiwa na hofu; ajabu nyingi na ishara zikafanywa na mitume. Na wote walioamini walikuwa mahari pamoja, na kuwa na vitu vyote shirika, wakiuza mali zao, na vitu vyao walivyo kuwa navyo na kuwagawiya watu wote kama kila mtu alivyo kuwa na haja. Na siku zote kwa moyo mmonja walidumu ndani ya hekalu, wakimega mkate nyumba kwa nyumba, na kushirika chakula chao kwa furaha na kwa moyo mweupe, wakimsifu Mungu, na kuwapendeza watu wote. Bwana akalizidisha kanisa kila kwa wale waliokuwa wakiokolewa. MATENDO YA MITUME 2:42—47)
Maisha ya kulasa ya juu wanayoyaishi ni watu wasioamini, watu wa inje waliomo, wageni waliookoka kutoka kwenye uchoyo kuingia kwenye ufalme wa mwanaye aliyependwa kweli si jambo gumu kwa watu ambao wanayo Yesu mwenye anaishi ndani yao, wanaenenda kama yeye alivyo kuwa anaenenda, walijaa na wepesi wakufanya mambo ya Mungu ndani ya nyumba ya Baba. Mkitoa LUKA 6:1, 14:35 alafu mtaishia na kitu kingine kama MATENDO 2: Je, mnaweza mkafikilia sababu nyingine ambazo zinaweza zikawakataza kuishi kwaajiri yake yeye aliye wafia ninyi? Mimi sina, wote pamoja hatuna.
SIFA NYINGINE ZAKUFURAHISHA
Hivi sasa tunasikitika kuwa na kanisa lisilo na mafundisho ya Mungu (shule ya Jumapili) wengine wanasema kwamba wakikuwa ndipo watakuwa na kanisa jema kama lile Petro na Yohana. Walikuwa wakiongoza lililokuwa na mafundisho ya kwa Mungu yalio tengeneza hivi karibuni na watu na kukuza ambayo Yesu na Mitume waliyatoa haya: Mambo magumu yalikaa katika siku za kutojua Mungu zamani na warumi.
DHABAHU—Ilikuwepo baada ya kufa Yesu (BK) miaka miasita na warumi wakati wa (1520 AD) Martin Luther.
YAKUNYUNYIZIA KWENYE KIKOMBE: Wakati wa 800 BK
MAFUNDISHO YA VIONGOZI (SEMINARIES)—1300 BK
Kufundisha watu (viongozi) ni jambo la kigeni sana tukiona matendo na mafundisho ya Yesu na tena Agano Jipya. Katika ufalme wa Yesu watu walikuwa wanakua katika maisha ya kina sio kwamba kuwajaza kama chubu labda tunawafundisha madalasa ya uongozi.
Vyuo vya Kikristo—yalianza wakati wa 1640 Bk kutoa maafundisho ya kikristo.
Kuvaa siku ya Sabato—Wakati wakutojua (Dark Ages)
Tai za Shingoni—zilianza na watu kutaka mashindano kuona aliye vaa mavazi ya hali ya juu sana katika chakula cha jioni.
Mavazi yakifahari malefu—yalianza kusema ambayo wanaochunguza mambo ya zamani na wengine wanao chunguza dunia kutoka Misri walikuwa hawataki kukosa yalio bakia yakaachwa! Jueni kwamba hakuna lililobaya lakini na haya kama yalivyo mavazi mazuri, tai shingoni hata kutegemea mavazi mazuri siku ya Sabato hasubuhi, mnisikilize lakini kwamba yanapingana na mafundisho na maisha ya aliye kichwa cha kanisa Yesu Kristo. Vyema kama mlivaa vizuri wakati wakwenda kwenye kilio cha ndugu yenu, kwanini muache kuvaa vizuri wakati wakwenda kanisani?
Ata kwamba lilionekana ni jambo jema zamani wakati wa 20 century katika inchi kama vile marekani na ulaya hayakuwa kama vile Yesu alivyokuwa anataka pengine kanisa lilifanya hivyo kwamba watu wavuge hivyo wakati wakwenda kanisani. Yesu ajawahi kufanya hivyo, tena akutakiwi. Ninajua yote yamesikika yakigeni kwa wale walikuliya kwenye mafundisho ambayo yasio ya Kristo. Kumbukeni kwamba atuoni jawabu la kanisa ambao tunalisoma kwenye Biblia, tunaliona kama hilo? Ili sio jambo lakuzalauliwa. Tulichukuliwa na desturi za watu sasa wakati umefika tuweke nyuma njia za kiutoto. (Marko 7:13,12:38-40). Kama mtume Paulo alivyoandika tusihukumiwe na yeyote yule kama tunakaa kwenye uhuru wa ujumbe wa Yesu. (Tena tusiachane lakini tuone katika njia ambayo Mungu anaiona).
HAPA TENA KUNA MENGINE YAKUSHANGAZA
Tukisema za wainjilisti, wachungaji (muinjilisti wa nguvu anayeongoza shughuri auteseme (Master of Ceremony, Mc) ata viongozi wa kanisani, haya yalianza wakati wa 1520B.K Martin Luther alikuwa anawatumia makuhani wa zamani, waligeuka na kuendeleza msiba, kwendesha au tuseme kufungisha ndoa, wakati wa uongozi wao hao watu mkiendesha yote ya siku ya Mungu, kutoa neno au kuhubiri. Mnaona kufanana na yangu, yangu
Tuangalie za kola nyeupe uliotengwa wanayo vaa shingoni viongozi—kweli Yesu aliwakemea mazoea ya kuvaa vitu vilivyotengwa kwakusudi la kumshazi? Mwingine katika dini yake au kujiona anafaa, twendeni turudi kwenye siku zile. Hivi karibuni wengine wanasema kwamba tunachuki na kanisa la Methodist kwasababu ndio wanaoanzisha haya wakati wa mahubiri yao. Sana zaidi walivyo kuwa wakienda toka sehemu nyingine kwenda sehemu nyingine nakutembea kwenye farasi, walipofika mwisho walivaa yakuziba midomo na pua zao. Walikuwa wanafunguliya chini mikanda yao kutoka kwenye shingo zao walipo kwisha kuhubiri.
Wakati kulipo kunazaliwa somo lakuvaa kola yauongozi yaupuuzi sio hivyo? Turudi kwenye jambo la kengele, kundi linalosimamiya utumishi, mipangirio kama hiyo hata pia haya joe schmoe Ministries, Inc tuendele na haya yalikuwa yanaonesha kikristo kwa wakati huo ni kweli waliweka vikwazo njiani kuzuiya tusijue maisha ya waumini wakwanza kama makuhani wa kifalme nataka kusema kwakuludiyaludiya jambo la ambalo wengine wanaweza kupaza sauti kusema kwakuludiya nakutoa maneno ambayo ayajulikani yamo kinywani mwao, kuongea nakuweka mengine kukoloma na kushindwa kuhama wakiwa wameanzisha ugonjwa wa moyo.
Wengi wanajiita wa kristo leo wamenyang’anywa nawale waliowachukua nakukaa kwenye upotofu wakirumi nakujaa kidogo sana neno la Biblia na namna wanavyoweza kuwa wakupokelewa na kufanya pamoja mipangirio na kuyaweka kwenye uongozi wa vitu vya dini. Kama mumba wa yote haya yaliopo alikuwa anapatikana kwenye makundi yetu, yangekuwa ayasaidii lakini kuwa mbali sana kuzidi hapa. Wenye makanisa haya ambao tumewataja hapo juu wanaweza wakaonekana ni wema, kwakujitahidi njia yakuonyesha makanisa yao kwamba ayawezi kusonga mbele kama mmoja wao hayupo ukifikiri hayo ndio namna ulivyo, je, unafikiri kwamba ni kanisa moja la nguvu la kwenye matendo kitabu cha matendo (kwakuwa wao awakuwa hivyo) labda unaona tusipoua tutashushwa sana? Je, kama tutawatoa wale wanaojiona ni wao wa ninyi je, kunaweza kukabakia mtu kwenye kanisa lenu?
Kama kanisa lenu alinamsimamo na kuongezea na nguvu za Mungu lakini mnakaa kwenye mahitaji yawingine, kuandaa namna ya kuendesha kujenga, kusimamisha watumishi wa nguvu, kundi la kuendesha kanisa, na kupanga mikutano ya mala kwa mala ni kwamba mmejenga kimakosa. Namna yakuendesha huku na michanganyo yake, na kutengeneza kwake ni jambo la kigeni kwenye kanisa la kwenye Biblia (ata kwamba likue kufikia watu 15000 kuongozea waumini wengine ndani ya kanisa hilo) hiyi ni sheria yakunogeshea wakristo wa wakati wa kale (20th Century) ndugu ayatakiwi kuwa hivyo. Kusema ukweli wote haya tunayoya shikiria yanatakiwa kwakuwa atuna ushirika na Mungu mwenyewe wa yote. Ambayo yeye alitaka mfanye kwenye kanisa lake, Waebrania 8:1; 10:25, Akolose 2:16-17). Kama tunamjua yeye katika kweli, ulinzi wetu wa kila siku unaongozwa kwa undugu sio kwamba katika sheria. Yakwanza ya matendo ya nguvu ya kiroho ndani ya kanisa tunalo litaja kwenye kitabu cha Matendo sura 1:1 ambamo tunakuta kwamba Theo-philus kumaanisha Mungu ni mwema sio Theo-Logians, mafundisho ya hari ya juu. Sifa ya matendo ya utukufu kati ya watu baki haya kuandikwa kwa watu wanaojiinua mbele za Mungu. Panatakiwa kufikilia sana, kwamba ufunguliwe katika kweli ya Yesu. Katika kikristo chenu, mnatakiwa kuwa na undugu katika upendo sio katika sheria. Naamini kwamba yote haya yanatupeleka sasa matengenezo, si hivyo? Haya yamaanishi kwamba sasa tutaanza kujifunza mafundisho ya kigeni yasio nyongeza (hata yakunogeshea yanatakiwa kuponywa kutoka kwenye mambo ya kale (20th century) ya vinyago nakutegemea nyumba zatukutaniana, kuendesha kwa watu, diploma, TV, michezo isiyo faa au ya uovu ya miili yetu, wamekimbilia matangazo wamekimbilia kufarijiana na Miungu mbalimbali isiyoonekana maishani mwetu. Tunaweza kutofautisha kati ya kanisa na dunia sio katika mwili, wakati miungu inavunjikia chini ambayo wametutoa katika kweli (Ezekieli 14:3) hivyo tutaweza kufurahi na Yesu na kuwa na uzima tele wa utukufu ambao waliutazamia nakutuachia sisi Wahebrania3:1; 12:1-2; Yohana 17:5-22; Luka 12:32; Mathayo 16:13-43; 13:52.
Tofautisheni maneno haya na yale Yesu aliwaachia ambayo mtapitia kwa kwakujionyesha sio kwa yeye. Mathayo 21:43; 23:13; 23:38;
Si vyema nimalize na kulasa ilioandikwa na mambo mengine Haya ni mafupi tena yanasaidia sanasana kuendeleza maombi na mawazo kumbuka kwamba mukiwa mnapokea bila mawazo mapya mwisho wake utakuwa mbaya kuliko mwanzo. Mpaka tuyaondoe tunavyo kuwa hapo ndipo tutavaa wito wa uwana wa Mungu na tutafahamu kusudi lake. Tikilaani na kuondoa vazi la kuitwa mwana tutakua na mwana aliye uchi, washida. Mtu kiwete anakuwa hana chakumsadia kutembea (wheel chair) taa za baiskeli yakutembelea, sehemu yake yake ya kuweka baiskeli, na mahali pakepake pakuogea.
Linaweza likawa jema kuponya mtu kama huyu kuliko ku mtengenezea vitu vinavyoweza kumsaidia
vya hali ya juu kwakumdanganya (mipangirio, hadithi, sababu zisizo na maana).
Musa alitumika kwa makosa, katika sehemu na vitu na wakati ni yaliopangwa kwasababu ya ugumu wa mioyo yetu, lakini toka mwanzo hayakuwa hivyo. Twendeni tubadilike tuyamalize hayo tuendelee.
KUNA TUMAINI
Kumbe ufalme wa Mungu unaonekaje? Je, kanisa ambalo linatembea pamoja na Mungu katika neema yote, unaonekanaje?
Je, naweza kujuaje Roho wa Kristo na njia yake nzuri ya watu wake na mimi pia?
Yesu Bwana harusi, kanisa lake. Ni mke wa thamani wa hari ya juu mke aliyo jitayalisha kwa kurudi kwake Bwana harusi, Mfalme wa utukufu, ni mke wa kanisa la utukufu, asiye na waa, au kukunjika sula, hata kilema cha namna yeyote ile. Bwana harusi huu ni unaofanana na Yesu—wa rehema, lakini alijaa gadhabu kwa walio wanafiki, aliye na mwenendo safi nakufuata kazi ya Baba yake bila kutoa. Hili ndilo kanisa ambalo Yesu alilinunua na damu yake.
Litakuwa kanisa ambalo alijengwi na wakati au sehemu fulani, lakini wakati wote mahali pote palipo wazi wanatembea pia nyumba hadi nyumba. Litakaa pamoja na kuungana na msaada wa mwili wake, wanakaa mwingine na mwenzake na kukubaliana dhambi mwingine na mwenzake, wanatiyana moyo mwingine na mwenzake wakati wote tena, bila mwingine wa moyo mkuu kwaajiri ya unafiki wa dhambi, wakati wote wanapendana, nakutumikiana, wanachukuliana malemivu mwingine na mwenzake kwa furaha na shukurani. Wanaishi na upungufu wa machozi. Tena wengi wa wao waliamini walikuwa wa moyo mmoja kwamba mali haikuwa ya mtu mmoja bali wote.
Kanisa litajulikana na nguvu yake na Neema yake. Dhambi itaonekana na kuondolewa na nguvu ya utukufu wake wamilele katika mioyoyo ya watu ndani ya kanisa. Walio kwenye vifungo watafunguliwa, na kuimba nyimbo za Mungu hakutakuwa kulichoandikwa kwenye kitabu kabla saa aijatimia lakini kutakuwa kushuka kwa yale ambayo Mungu anatenda wakati huo katikati ya watu. Angalieni, ambayo amejazwa na furaha, imani, watakatifu wake wanaweza kujaa na nyimbo popote pale hata ambako kanisa liko ndani ya nyumba yakulia chakula.
Kitu kilicho cha uhakika sehemu moja kunatakiwa kiwe cha uhakika popote. Divai na maji yalio hai yana maana jipya kwakutambua hayo. Ni ya kwenye Biblia, ni mema na kujaa na kikristo cha Yesu.
Wote ni undugu haswa tukae kama Bwana alivyofanya. Yesu Kristo wa Mungu sasa anaishi ndani yetu kila mmoja peke yake kama watu wake, Wakolose 1:26-27; 3:4; Wagalatiya 2:20; Matendo 17:28 Waefeso 5:18; Yoha 2:6 Warumi 18:9
Kulasa hii ni mfano usio na mwisho wa kanisa ambalo Yesu alilijenga tena chochote ambacho kitatembea na yeye katika Roho wake.
Roho Bwana Mungu juu yangu; kwasababu Bwana amenitia mafuta, niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao walio fungwa habari za kufunguliwa kwao. Kutangaza mwaka wa bwana uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao; kuwaagizia hao waliao katika sayuni wapewe taji ya maua badala ya majivu, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, vazi la sifa badala ya roho nzito; wapate kuitwa miti ya haki, iliopandwa na bwana ili atukuzwe.
Nao watajenga pa kale palipo palipo haribiwa, watapainua mahali palipokuwa ukiwa zamani, watatengeneza miji ilio haribiwa, mahali palipoachwa kizazi baada ya kizazi. Na wageni watasimama na kulisha makundi yenu, na watu wakabila nyingine watakuwa wakulima wenu na watunzaji wa mizabibu yenu.
Bali ninyi mtaitwa makuhani wa Bwana; watu watawaiteni wahudumu wa Mungu wetu; mtakula utajili wa mataifa na kuyisifia utukufu wao. (ISAYA 61:1-7; Luka 4:18-19).
Hivi sasa tuseme hivi usemi wa Mungu ni mzuri kupita siku ya mtu, je, sio hivyo? Makanisa kama haya yapo ambayo inafuata maneno ya Mungu. Kama unataka kuingia nikuhakishieni kupitia mambo magumu yakuumiza kupitia hayo tukaingie kwenye ufalme wake Mungu. Mnayaweza yote haya kama mwingine yeyote anavyofanya.
Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tunaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu; Naam atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele Amen. Waefeso 3:20 Amen!
MANENO YA MWISHO
Limekuwa tumaini la moyo uliovunjika wowote, mtu ampendaye Mungu mwanamke au mwamme labda injili nyingine nzuri, mpya na kuongezea nguvu, mipangilio, hekalu lilojengwa lakisasa linaweza likaponya vidonda na makwazo ya makaniza yao. Katika kweli, wanafunzi wa Yesu, wanaomuogopa Mungu walioishiwa nguvu, kwasababu yakutosaidiwa waliona kuishi kwa mabenki kukua zaidi na zaidi makanisa yao mnaesabiya watu wa duniani bila kuangalia ambayo Mungu amekataza. Wanasimamia kwa ukali hata kwamba watoto wapitao 60% wanaingia kwenye ndoa kabla ya wakati wao katika umri mdogo, miaka kumi na tano. Hata kwamba kuna uhakika usio wa nguvu, kwamba makanisa ya wanafunzi hao na vyama vingine, awakayi katika uweza wa nguvu na upendo na utakatifu wa Mungu wetu, wengine kwaajiri yakuachilia na rehema wamejizuia wao wenyewe. Kwasababu yakushikilia desturi za watu, unakuwa ni uoga wakukataliwa, hofu ya kushindwa, hofu yakufukuzwa kazi yao ya uongozi. Nakuacha mambo mema na michanganyo kwasababu yakujipenda hata pia urithi wa kwenye familia. Angalieni sababu zilizofichwa kati yao ambawo wanachukizwa na mawazo mengine wawekwa hapo. Wakati mnapopasua chubu anayebembeleza ni mzizi wa dini unaweza kukutana na kipingamizi kama hiki kama Bwana Yesu alivyo kutana nayo. Ujiandae kwaajiri ya hayo, ukaanza na hekima na upendo. Lakini siku zakufananisha zikwisha pita.
Tunakiwa kuendelea mbele pamoja na Mungu wetu katika yote aliyo tuandalia. Nabii isaya alisema, kwamba neno la Mungu alitarudi bure. Yesu alieleza kwakuendelea na mamlaka ya nguvu. Bwana wetu alitufundisha kuna kitu kimoja ambacho kita maliza na kuharibu neno la Mungu miyoyoni mwetu.
Huku mkilitangua neno la Mungu kwamapokeo yenu mliopokeana; tena mwafanya mambo mengi yalio sawasawa na hayo. Marko 7:13.
Kwa Kumaliza………….
Lakini wapenzi, ijapokua twanena hayo, katika habari zenu tumesadiki mambo yalio mazuri zaidi, na yalio na wokovu. Maana Mungu si dharimu hata aisahau kazi yenu, na pendo lile mlilolidhirisha kwa jina lake, kwakuwa mmewahudumia watakatifu, na hata hivi sasa mngali mkiwahudumia. Nasi twataka sana kila mmoja wenu aidhihirishe bidii ile ile, kwa utimilifu wa matumaini hata mwisho; ili msiwe wavivu, bali mkawe wafuasi wa hao wazirithio ahadi kwa imani na uvumilivu. Waebrania 6:9-12”.
INCHI ISIYO NA MIJI
Fikilieni kwa dakika moja miji hakuna ambaye pekeyake anaweza kufahamu au kusema kwamba mji ni wa nini. Maisha yamekua ya miji, katika kundi na katika mafundisho, kizazi hiki istoria inasema kwamba miji ilikua ya wanaume ambao walikua wanajiita wanaume kweli, tena watu familia walikuwa wengi sehemu walizokuwa wanaishi.
Simameni, tena fikirini pamoja nami kwa dakika kwamba kuweje dunia bila miji. Muongeze kwamba kundi la watu kizazi kile kimefikili kubadili vitu na kuyaweka yanavyotakiwa kuwa. Wakawaza kulejeza miji, na kujenga miji kama sehemu yakufanyia yote katika maisha yao. Ingechelewa miji yeyote angekuwa mji wakufanyia kazi. Lakwanza kufanya lingekuwa kwa asili kusema wanakotunzia vitabu au kusoma sheria, kusoma kujifunza kila kitu cha mji.
Katika uchunguzi wao walishirikiana pamoja kwamba watalejeza uhai wa mji katika kizazi chao. Kwa pamoja wakijenga wanasogeza miji na mbao, wanamalizia na sehemu ya kukaa jeshi la ulinzi. (police station).
Watu waliojitoa wanaume na wanawake walikwisha maliza kazi yakulejeza tena mji na maisha katika dunia yenye upungufu na lisilo na mji. Walipatana kwamba kwa saa moja kila siku wajifunze maisha ya mji mtu ambayo alikuwa anacheza michezo mingine hata kwamba awe wamjini alianza kuweka majani kwenye kaduka kake. Mfanyakazi wakutoa pesa benki na mama yake na baba yake wakati wote walikuwa wana fikiria watakuwa na pesa nyingi siku nyingine dora chache kuongoza kundi nakutafuta hayo walipata vitabu vichache kwamba watawapa watoto wake kutumia shuleni.
Tena polisi aliyekuwa anatunza ofisi yake kupita vitabu alikutana na matatizo sababu bwana wake mala kwa mala alikuwa anatoa vitabu kabatini. Kama vile mjini bunduki hazikukaa, hilo lilikuwa sio tatizo. Kule ambako kuliweko vichache kwa wakati huo katika miaka ishirini na mbili, yasiokaa kabisa.
Walifanya uchunguzi katika lugha nakupata njia pasipo njia. Nakutunza kitabu kilichokuwa vumbi ambalo lilikuwa na habari kwamba uingereza kati ya mwaka wa 1980 polisi (Bobbies) walikuwa awatumii bunduki, badala yake walikuwa wanatumia mabomu yakutoa machozi. Katika kuelewa kwake ilikuwa vyema kwa yeye kwamba polisi anatakiwa bunduki tu wakati wa kwanza walipokuwa wanapanga kama watu wa cheo. Yalipopita hayo waliwaza kwamba wataendelea mbele, kwa hiyo hakukutakiwa kutumia bunduki kuhakikisha vyeo vikubwa vikubwa. Miaka mingine ya 1980 watu walikuwa wanaendelea kutumia bunduki zilikua za kuzoea hata kwamba zilikuwa za kizamani alafu wanaonyesha kutoelewa juu ya haya. Gonjwa hili limemalizwa. Bunduki si kwamba haikufaa katika desturi zao. Halusiwi kufanya kazi kama inavyokiwa kuwa.
Kama ilivyo sehemu ya faida walianza kuweka mafundisho na mikutano na polisi, kwaajiri mafundisho yote ya mambo ya kwanza.
Kwa hiyo watu wengi akina mama na baba waaminifu walikua wanakwenda kila siku, namna ya dini majumbani kwao mambo ya mbao kwenda kujifunza maisha ya mjini. Kama watu wa mjini walinunua mboga za shambani, mwenye shamba kukimbilia benki na pesa alizopata kwenye mauzo. Polisi walisimama na kumlinda mwenye shamba kwamba majambazi mnyang’anyeje mali yake.
Mwalimu mkuu alikuwa anajitahidi kufundisha. Kwa saa moja mji wote ulikuwa na maongezi kila mtu alijitahidi (kwa sababu ya kusudi) kutumia usemi wa kizamani mijini siku hizo. Sasa kazi zao za mjini zilikua zinawafaa.
Uu ulikubaliwa kwamba ulikuwa wakati wa ukimya kwa watu wengi. Kweli wakati mwingine kulikuwa kunaonekana matatizo kwakuwa haya ni yakutumainika. Wengine wanaweza kusema kwamba yote ni mapya na ya hari ya juu yaliojengwa mjini ambayo yalikua yanakuwa siku na siku yalitoka kwenye magawanyiko au kujisifu wengi walisikia vizuri sana na mawazo ya kufuata kweli, kukua nakujaa kwenye miji.
Siku moja mtu mmoja wa zamani aliyetoka mjini alikuja. Akaona watu mjini pale walivyo kuwa wakiendesha biashara zao walikuwa wana kimbia walikua wana kimbiya hapa na pale kama kwamba yafuatayo ya biashara hizo kwamba yali kuwa yanategemea wao. Juu ya yote habari hii ni yakulejeza maisha ya mjini ni jambo la muhimu sana. Mkubwa aliyetoka kijiji cha zamani walivunjika moyo na kuchanganyikiwa, walishanga na kukwaza wote wakati mmoja. Je, yote yalikua ya kazi gani? Eti kutulejeza maisha ya mjini haya ndio?
Walikuwa na hofu sana na kufurahi kuwafundisha wao ambao walikuwa wanaonyesha maisha ya mjini zaidi sana sawa na ya mjini. Vitabu vyote vya kujifunzia walikuwa navyo kwa wakati wao waliwasaidia kutoa kile kilichokuwa kikionekana kitimilifu katika maisha yote ya mjini, kipande baada ya kipande kingine bali bila maisha yeyote nyuma yao.
Mkubwa aliye mgeni alikuwa anasumbuka sana kutokana na maisha ya watu wa mjini. Lakini hayo yalikuwa sawasawa. Watu kama familia hii kweli, kuna matatizo lakini yalikuwa ayaondolewi vyema, badala yake walikua wanajinua kuwa watakatifu kuliko ninyi. Walizungumza kwa sauti ya chini masikoni kwa mtu na mwenzake walipokuwa wakipita kwenye miji. Tunajua kweli sisi ni wa mjini. Walikuwa wana kubaliwa kula walichokuwa wanakihitaji.
Kuna makosa kwamba uwe na pesa benki?
Je, si kuna vitabu vya kutosha mashuleni
Wakati walipo kuwa wakiangalia yafuatayo ya mkubwa yule mgeni na matatizo yake walipokuwa wakiona ayabembelezwi majibu yao yalikuwa yanazidi kukuwa makubwa.
Jaribuni kuchukuwa hela benki mtaona kama kundi la Polisi alifanyikazi, alipiga kelele.
Sikiliza kama autaki namna tunavyojenga tumeanza nyumba yako hapa washa moto waota kama unataka. Unajua mahari wanakochagua vitu kuko. Baada yakusemasema kwanini usijenge pamoja nasi? Kumbe wewe ni mwema sana kuliko yeyote?
Ayitakiwi kusema kwamba mkubwa yule mgeni utakufa aliondoka kwa ghafla na kukwazika. Watu wa mjini walikuwa wakienda kwa uaminifu mjini kila siku wakati unaofaa wakati wote wakipata nafasi wakati milango ikifunguliwa uwe mwaminifu mpaka kifo.
Kwakujiheshimu na kwa mpangilio mnaona maisha ya hofu na kujinuwa mjawaluhusu wao watofautishe kwenda mjini na kuwa wa mjini.
Tunaomba kwamba watu wa mjini watufundishe kwamba tusi haribu kilicho sawa na ufahamu wa zamani. Tunaomba kwamba tukae kidogo kupita kunavyo kuwa, ndani na nje na kwamba tusiongeze uzuri wa kiwango cha mizani ilivyotengenezwa. Mafundisho ya wenye shule wanatunza kazi ya wenyewe.
Hayafanywi sio kwamba ni mjini au kanisa. Kusema za miji labda kuhesabu za miji hatuwezi kufananisha na maarifa na furaha na faidi yake ya maisha ya mjini. Hata maisha katika ufalme wa Mungu. Faida na nguvu ya maisha ya mjini haitakuwepo wakati miji na makanisa yanavyokuwa ya hali ya juu kwa matendo ya wenyewe. Msishibishwe kwenda mahari wanakotunzia asali. Ingine kwenye hili na maisha ya moyo wote.
Uwe na msimamo sio sababu sheria yeyote, labda kuwa mtu mwema kwa miaka yakuongezea kumi au kupita hapo. Usemi wa nguvu ukiwa umesimama nyuma ya madhabahu usiuondoe ukweli wa Mungu, kitokacho kwenye moyo wake kwa watu wake siku hizi (Waefeso 3:10) Bwana atubaliki nakutusaidia wakati tunataka kuwa watu wake, Bwana harusi ambayo amejitayalisha kuja tena Bibi harusi, “Mfalme wa utukufu Bwana, Yesu Kristo. Jina lake litukuzwe.