Yesu: Kweli—Si mabakishi, Ukweli—Si bidhaa zilizotengenezwa, Kichwa—Si kiumbe mkuu
Mualiko wa Mungu kwa dunia ni kuwa nyumbani pamoja kwa ajili ya Baba, Mwana na Roho Mtakatifu—kuwa Bi harusi aliye jitayarisha kwa kurudi kwa Bwana harusi,Yesu Kristo (Yohana 13-15, Waefeso 2-5, Ufunuo19:7) Ukitafakari kuhusu picha zilizo kwa maandishi ya vile maisha yalivyo, naye au kumhusu, Yesu anatamatisha —je ni nini? Ni uchumba—na chakula cha harusi! Mungu anatuhimiza akisema “Nina uhakika Kunihusu. Ikiwa mtakuwa ndani Yangu na kuangalia niliye hakutakuwa na washindani wengine wowote duniani.HAkuna kitu chochote duniani ambacho kita shinda roho yako kama vile ninaweza—kwasababu nilikuumba kwa ajili yangu Mimi Mwenyewe. Vitu vingine vimekupotosha lakini ikiwa utachukua mda na kukanyaga kando Nami, utaona jinsi maisha yanavyo takikana kuwa. Na kutakuwa na harusi! “Kwa hivyo jitayarishe,bi harusi”
7/5/2007